Agiza Gari lako, Bila Usumbufu.
Pata magari kutoka Japan na UK. Tunashughulikia kila hatua kuanzia uchambuzi wa mnada hadi kukuletea mlangoni.
Hatua 4 za Kuagiza Gari
Tumeweka mchakato wazi na salama ili kukuhudumia kwa uhakika.
1. Tafuta Gari
Chagua kutoka soko la Japan/UK kulingana na bajeti yako.
2. Ushiriki Mnada
Wataalamu wetu wanaweka zabuni kwa niaba yako.
3. Usafirishaji
Tunaratibu usafiri salama hadi bandari.
4. Forodha & Delivery
Tunashughulikia kodi na kukuletea mlangoni.
Chagua Gari la Kuagiza
Chagua aina ya gari unayotaka kuagiza. Bei itawekwa na admin baada ya tathmini.
Kwa nini Bingwa wa Magari Used?
Ukaguzi wa Kitaalam
Kila gari linafanyiwa ukaguzi wa kina kabla ya zabuni.
Bei wazi
Hakuna gharama za siri. Unapata makadirio ya gharama mapema.
Msaada 24/7
Timu yetu ipo karibu kila hatua ya mchakato.
Zaidi ya magari 2,500+ yameagizwa kwa mafanikio na Bingwa wa Magari Used.
Global Shipping Routes
Japan
Osaka / Yokohama
UK
Southampton / Tilbury
Europe
Antwerp / Bremerhaven
East Africa
Mombasa / Dar es Salaam